UPO TAYARI? (ARE YOU READY?)
KIROHO (SPIRITUALITY)
Upo tayari kunyakuliwa? au ndio kwa miaka +25 uliyofikia bado unaendekeza ujinga na anasa kumbuka hizo hela unazozifukia kwenye upuuzi huji kuzivuna zenyewe zikiwa zimezaliana maana hili ndilo zao pekee ulimwenguni ukilipanda hivi linaota vile so jiandae kuvuna majuto ambaye atakuwa mjukuu wako wa kwanza kabla hujazeeka.
And remember that around the corner JESUS is coming so jiandae unyakuliwe hasa kama uko tayari maana usafiri wa wengi haumngoji abiria ila abiria ndiye hufanya maandalizi na kisha kuungoja usafiri na kwa ndugu zangu waislamu turejee kwenye swala kwa kumsujudia ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA maana BIBLIA TAKATIFU na QURAN vitabu hivi vimetuweka wazi ukweli juu ya nyakati hizi but tunajipoteza na kujifanya bize na mambo yasiyo na tija au yenye tija but tunasahau MKUU WA YOTE means we're not ready kunyakuliwa.

DO YOU WANT TO BE FAMOUS/RICH/BILLIONAIRE OR SUCCESSFULL?
JE UNATAKA KUWA MAARUFU/TAJIRI/BILIONEA AU MTU ULIYEFANIKIWA?
Je umefanya maandalizi?
Sijakosea hapo kwenye hilo swali maana unaweza ukawa na selfdoubts kwamba sasa tajiri na bilionea si ndio walewale au mtu maarufu na mtu aliyefanikiwa si sawa tu.
Hapana guys wanatofautiana kwasababu ya aidha ya kufanya au kutofanya maandalizi huwezi niambia eti MOHAMMED GULAM DEWJI au ALIKO ALHAJ DANGOTE ni watu maarufu kama unabisha muite hata dada yako au mpenzi wako au mtu yeyote yule anayeishi kama ndezi halafu muulize unamjua "DANGOTE" atakwambia acha utani nani asiyemjua DIAMOND nchi hii? hivi hujui nchi hii hii ya UNCLE MAGU zile saruji na yale malori ya rangi ya silver yenye chapa ya dangote kuna watu wanajua ni kampuni ya Diamond platnumz.
Nimewahi fanya huu utafiti majibu yake yalisababisha mbavu zangu kuvunjika fanya na wewe kama unatamani kucheka.

Kuna watu ni maarufu na hawajafanikiwa kwa mfano dada yetu Wema Sepetu angekuwa na biashara zake kama JIDE asingekubali kuwa kituko katika jamii kwa utomvu wa nidhamu.
Na kuna watu sio maarufu na wamefanikiwa kwa mfano Omar Msigwa mmiliki wa kampuni ya SUPER FEO na SELOUS maana tangu nakua nayaonaga tu mabasi yake ila yeye sikuwahi kumjua na nina miaka kadhaa hapa Njombe bado sijawahi kukutana naye japo wenyeji wanasema ni mtu wa kujichanganya sana yaani yupo simple tu ila shida ni kumgundua maana unaweza ukala naye mgahawa mmoja na usimjue kwasababu siyo maarufu bali ni tajiri kwasababu alifanya maandalizi ya kuwa tajiri siyo maarufu.

ACHA KUJITIA STRESS UTAPOTEA
Ukitaka kuwa uliyefanikiwa,tajiri,bilionea na maarufu kwa wakati mmoja lazima utakuja kujuta tu siku moja.
JIFUNZE KWA MIFANO
Unamkumbuka MICHAEL JACKSON? ofcourse alikuwa ni msanii maarufu na mwenye utajiri mkubwa zaidi ulimwenguni lakini hakufanikiwa eh hakufanikiwa kwani jamaa alifanikiwa kuishi maisha ya furaha,amani na uhuru? maana watoto walikuwa wachupa,weupe wa dukani,sindano na dozi za kila siku huku behind him alikuwa under satan's administration so hapa ndiyo utaelewa wa mbili havai moja au mshika mawili moja humponyoka na likikupokonyoka shetani analidaka kisha analing'arisha na kukufanya uwe mfuasi na mtumwa wake be careful my sisters and brothers tunayewaza noti mingi mingi.
Mbali na Wacko Jacko turejee kwa Brother Stephen Kanumba ilikuwaje vile..! behind his fame? vipi nalo tuliongelee Nope tuishie hapohapo ila unatakiwa kutofautisha malengo,ndoto na tamaa.
Maana ukiwahoji vijana wengi utasikia nataka nije kuwa mtu fulani mkubwa mwenye mafanikio na ukimuuliza who is your role model? atakutajia lifuasi maarufu la shetwani instead of himself or Jesus,Mtume Muhammad,Daudi,Suleiman n.k.
Slim sal aliwahi kusema hivi nitamnukuu
"Role model wangu ni huyu nimtazamaye kila siku nikisimama mbele ya kioo"
Yah sawa jifunze kwa waliofanikiwa but not kutamani waishivyo au kujilinganisha nao wewe ni wewe na wao ni wao mbona hata wao huwa wanatuambia kila siku.
Lord eyes aliwahi kusema "nisikilize ninachokisema ila usifuate ninayoyatenda"
Fanya sana maandalizi ya kutosha katika eneo hili kwani usipokuwa makini badala ya kutoka kwenye ukata na kuelekea uhuru wa kipato utajikuta umezipata hela ulizokuwa unazihitaji halafu bado ni mtumwa vilevile.
Ngoja nikupe siri moja ukiingia youtube nenda kasearch "how money made" angalia kuanzia hatua ya kwanza mpaka ya mwisho kisha toka mtandaoni halafu chukua noti yoyote utakayo kuwa nayo mfukoni au katika pochi kwa wakati huo kisha ishike kwa mikono miwili ipeleke mpaka juu kama vile tunavyokaguaga hela bandia halafu baada ya hilo zoezi anza kutafakari mimi na hili karatasi nani alianza? kumbuka kule youtube kwenye ile video kuna watu utawaona wako bize kazini so after that utagundua kwamba huhitaji majini wala shetwani kulipata hilo karatasi unachohitaji ni akili tu yaani akili iliyotumika kulitengeneza hilo karatasi na kupewa thamani basi wewe unaihitaji akili kubwa zaidi ili kuwa na hayo makaratasi mengi ili kiwanda kiwe bize zaidi kwa ajili yako kwasababu hebu just imagine wewe mwenzangu hivi ni wapi uliwaona machizi wanatafuta hela? Ndio maana daily tunasema utajiri wa kwanza ni akili but not otherwise.

ACHA KUFANYA MAANDALIZI YA KITOTO
(STOP DOING THE CHILDISH PREPARATION)
Kama una kaubongo kaliko jaa umbea,picha za ngono,list ya girls/boys,alcohol, na upuuzi wowote ule sure i'm telling you utafanya tu vimaandalizi vya kitotototo, vimaandalizi hivi ndio vile vya kuwaza hili mara lile kila siku unajipa excuses na kuhairishahairisha mambo

Tumaandalizi twa kitoto ndio tule ambato tunatutesa vijana wengi kutafuta njia rahisi ya kutatua matatizo magumu.
Maana nowadays sio siri kila kitu unachokifanya au utakuja kukifanya wewe ili upate pesa nyingi sema tu "kwa urahisi" au "kwa muda mfupi" kwa mfano kwa ndugu zangu mnaoendesha blogs na platforms mbalimbali kujiingizia kipato mnatumia sana hizi kauli nitawanukuu
"Jinsi ya kupata hela kwa urahisi"
"Jinsi ya kupata chochote unachokitaka ndani ya muda mfupi"
"Jinsi ya kufika kileleni haraka"
"Jinsi ya kupata six packs kwa siku 28 tu"
"Jinsi ya ku............. kwa njia rahisi"
kwa misemo hiyo kwanini wanaojiita manabii wasipige hela kwanini waganga wasitajirike kwanini bloggerz na youtube channel owners wasipate views na pesa nyingi kiurahisi? sasa vimaandalizi vyako vya kitoto ndivyo vitakufanya uwatajirishe wengine na wewe ubaki fukara maisha yako yote.

FANYA MAAMUZI NA MAANDALIZI IMARA
(MAKE STRONG DECISIONS & PREPARATIONS)
Ukiwa na maandalizi ya kutaka kuja kufanya vitu vikubwa ni lazima uambatanishe na maamuzi imara.
Kelele za ndugu na jamaa fyekaaa
kelele za mwenzi au mpenzi wako fyekaa
kelele za majirani fyekaaa
kelele za wanaosema utashindwa fyekaa
kelele za wanaokufanyia ubaya kwa makusudi ili ukate tamaa fyekeleaaa mbali.
Kelele za tafiti za kipuuzi zinazoitabiri kesho yako mbovu nazo fyekelea mbaliii

Hizi kelele usipokuwa makini sometimes haziji kama kelele but hujaga kama ushauri, au vijimaneno vya kukutia moyo kupitia wale watu ambao unawaamini sana kumbe ni mashwetani yaliyo valia mabawa ili kuyatambua haya acha kutumia milango yako mitano ya fahamu uliyofundishwa shuleni unapaswa kutumia mlango wako wa sita wa fahamu ambao hutumika sana na vizazi vya ulimwengu wa roho nakusisitiza tena "you have to be very very careful"
Inawezekana hunielewi au unanielewa nusu nusu kutokana na taarifa hizo za kuukanganya ubongo wako right?
Usipate shida sio lazima tuelewane leo we endelea tu kunifuatilia kuna siku aidha ulinielewa,umenielewa au utakuja kunielewa.
KITU UNACHOTAKIWA KUJUA NI KWA KIASI GANI UPO TAYARI? NAIPENDA SANA KAULI YA VODACOM WASEMAYO.
"YAJAYO YANAFURAHISHA JE UPO TAYARI" hii ni kauli kubwa sana ukiifikiria kiupana ila ukiifikiria kitotototo tu "YAJAYO YATAKUFURAHISHA" tena "UTAFURAHI KWELI KWELI"

#ACHA_KUWA_NYUMANYUMA_KUWA_TAYARI_UUONESHE_ULIMWENGU_MAAJABU
Naitwa Mwl.Victor R. Kalinga wa Mtazamochanyafoundation nipo mkoani Njombe napenda kukuona ukifanikiwa katika kila sekta siyo kifedha tu bali kuanzia ndani yako mpaka mazingira ya nje yanayokuzunguka ndiyo maana huwa napenda kukuandikia makala hizi kwa hisia kali na mifano ya kweli sitaki nikurubuni kwasababu ulimwengu una mengi nayo mengi hayana maana so yote unatakiwa kuyajua ili uyachukue yaliyo na tija na kuachana nayo yasiyo na tija ili uishi maisha ya amani,upendo,uhuru na furaha tena ya kumtukuza Mungu wako kwani ukijiingiza kwenye mkondo mbovu hata kizazi na jamii inayokuzunguka nayo utaigharimu.
Usiache kuomba,kufunga na kumtumikia Mwenyezi Mungu kila wakati kwasababu huwa hamtupi mja wake hata siku moja.

KARIBU TUJIFUNZE ZAIDI.
Karibu sana katika darasa maalumu kwa mafunzo maalumu la KNOWLEDGE IS POWER (KIP) ambalo linakwenda kuanza rasmi tar 1/11/2018 kwa msimu wa kwanza litakaloendeshwa kwa siku 14 tu kwa gharama ya shilingi 7000/= tu.
Thibitisha ushiriki wako kwa hiari kwa kucomment namba yako ya simu ikifuatiwa na neno darasa au wasiliana nasi moja kwa moja kupitia nambari za simu 0712 335 288 au 0719 342 214.
KARIBU TUJIFUNZE PAMOJA NA UNGA MKONO UZALENDO.

pia kuna mtazamochanyafoundation group unaloruhusiwa kujiunga bure kabisa ili kupata fikra yakinifu kila siku bonyeza link hapo chini ujiunge moja kwa moja ila hakikisha una nidhamu na unajitambua.
https://chat.whatsapp.com/EM86U47uVzH9aPdGqmMuJJ

#AHSANTENI_TANZANIA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni